Kila mwaka kwenye historia ya taifa la kenya kumeshuhudiwa maandamano na migomo kutoka kwa watumishi wa umma kutokana na kucheleweshwa kwa mishahara, kucheleweshwa kwa kutimiza makubaliano ya CBA na kupandishwa vyeo kwa watumishi wa umma waliohudumu kwa muda. Hali hii hutatiza shughuli za kawaida nchini ikiwa wanaoathirika pakubwa ni walimu, madktari ma wahadhiri wa vyuo.…
Mwalimu ni taa — taa ya maarifa, mwanga wa uhai, na dira ya jamii. Lakini taa hii sasa inazimika taratibu bila mtu kuiona. Mosho wa lawama, upepo wa kudharauliwa, na vumbi la maisha magumu vinapuliza mwali huu wa thamani. Je, bado tunamwona mwalimu kama taa, au tumemgeuza kivuli cha matumaini yaliyofifia? Mwalimu ni taa. Lakini…
Rainfall is an online magazine featuring curated stories about real people. We are passionate about interviewing people from self-employed entrepreneurs to established CEO’s and represent the times.